Loko Find

Njia mpya ya kufanya mambo kwa haraka bila kutumia muda mrefu. Huna haja ya kuajiriwa tena. Chagua njia ya kujisajili sasa.

Loko Find

BURE! 100%

Kujisajili ni rahisi

Jaza Fomu

Andika maelezo yako ya muhimu kama vile namba za simu na majina yako kamili.

Chagua Ulipo

Kupitia kwenye ramani chagua mahali ulipo ili kufikia watu kwa urahisi na haraka.

Anza Kufanikisha

Anza kufanikisha mambo kwa urahisi au kupata wateja mahali ulipo kwa haraka.

Loko Find

Suluhisho Bora Tanzania

App ya Loko Find imetengenezwa na watanzania na itakupa uwezo wa kisasa wa kufanikisha mambo yako yote kwa haraka.

Sajili Biashara Yako

Loko Find Business ni suluhisho bora kwa wafanya biashara wa aina yoyote bila kujali wewe ni kampuni au mtu binafsi.

  • Tangaza Biashara Bure
  • Kutana na wateja kwa haraka bila kujali ulipo.
  • Fahamika zaidi hata kama uko mbali na eneo la kazi.

Sajili Biashara

Jaza kiwango cha pesa unacho hitaji.

Eneo la Biashara

Sajili eneo ulilopo bila kujali kama ni ofisi.

Anza Kazi

Anza kazi kwa haraka baada ya usajili.

Badilisha Eneo

Utaweza kupata kazi eneo lolote ulilopo.

Wasiliana Nasi

Msaada Zaidi